Sunday, March 25, 2012

SIMBA UWANJANI TENA LEO KOMBE LA SHIRIKISHO AFRIKA

Timu ya Simba ya Tanzania itachuana na wawakilishi kutoka Algeria timu ya ES Satif katika mashindano ya kombe la wawakilishi hatua ya kwanza. mchezo huo utachezwa katika uwanja wa taifa kuanzia saa 9 alasiri. makocha wa timu zote mbili wamejigamba kuibuka na ushindi. Mungu ibariki Tanzania, Mungu wabariki wawakilishi pekee wa Tanzania Simba spoti klabu.

1 comment:

  1. Ninataka kushiriki ushuhuda wangu wa kutoka moyoni kuhusu Dk. Dawn na maneno ya ajabu ya mapenzi aliyonitolea. Baada ya mume wangu kuniacha mimi na mwana wetu, nilihisi nimepotea na kuvunjika moyo. Lakini kwa mapenzi ya Dk. Dawn, kila kitu kilibadilika. Mume wangu alirudi, akiwa amejawa na majuto na upendo, naye akaomba msamaha kwa matendo yake. Ilikuwa kana kwamba nuru ilikuwa imewashwa katika familia yetu.

    Iwapo unakabiliwa na changamoto zozote katika ndoa au mahusiano yako, au hata kama unahitaji usaidizi wa kesi mahakamani, masuala ya afya, au ndoto za kupata mtoto, napendekeza kwa moyo wote umfikie Dk. Huruma na ujuzi wake hufanya miujiza kweli kweli. Asante, Dk. Dawn, kwa kuirejesha familia yangu pamoja!
    Whatsapp yake: +2349046229159
    Barua pepe. dawnacuna314@gmail.com

    ReplyDelete