MGOMO WA MADAKTARI TANZANIA WAISHA
MADAKTARI
WALIOKUWA KWENYE MGOMO KWA TAKRIBANI SIKU TATU SASA WAKISHINIKIZA
WAZIRI WA AFYA DR. HADJI MPONDA NA NAIBU WAZIRI WA AFYA DR. LUCY NKYA
WAJIUZULU, WAMETANGAZA RASMI KUSITISHA MGOMO HUO NA KUREJEA KAZINI HUKU
WAKIAHIDI KUTOSHIRIKIANA NA VIONGOZI WA NGAZI YA JUU WIZARANI.
HALI HII IMETOKANA NA VIONGOZI WA CHAMA CHA MADAKTARI KUWA NA IMANI NA MAZUNGUMUZO YALIYOFANYWA KATI YAO NA RAIS KIKWETE
HII NI HABARI NJEMA KWA WATANZANIA
No comments:
Post a Comment