Saturday, March 10, 2012

MICHEZO LEO /SPORTS TODAY

VAN PERSIE HAUZWI
Wenger amesisitiza kuwa Van Persie hatauzwa kwa gharama yeyote na kwamba yuko radhi kumuona akiondoka akiwa mchezaji huru kuliko kumuuza.

haya yamekuja wakati kocha wa Manchester city akimweka mbele Van Persie katika wachezaji anaotarajia kuwasajili msimu ujao.
Sakata hili la Van Persie linakuja wakati tayari kuna habari njema kwa mashabiki na wapenzi wa timu ya arsenal ya ujio wa Mchezaji nguli kutoka ligi ya Ujerumani Poldosk ambaye gazeti la Mirrow limethibitisha kuwa amesajiliwa na timu ya Arsena kwa Mkataba wa miaka minne.
wakati huo huo Arsenal inakaribia kumsajili mchezaji wa Dynamo Kiev's Ukraine striker Andriy Yarmolenko
 


No comments:

Post a Comment